BREAKING NEWS

Category 5

?max-results="+numposts2+"&orderby=published&alt=json-in-script&callback=recentarticles6\"><\/script>");

Category 6

?max-results="+numposts5+"&orderby=published&alt=json-in-script&callback=recentarticles8\"><\/script>");

Category 7

Tuesday 2 October 2012

TAZAMA UBUNIFU, TENGENEZA PESA


Ni ubunifu mzuri sana ambao 
Kwanza unakusaidia kubana matumizi yako ya kwenda kununua kizolea taka badala yake unatengeneza mwenyewe baada ya kumaliza kutumia kidumu chako cha mafuta au juice, 
Pili kwa wajasiriamali wadogo wadogo wanatakiwa wawe wabunifu kwa kubuni vitu kama hivi ambavyo gharama yake ni ndogo sana na unaweza ukakuza mtaji wako, 
Tatu kwa kutunza mazingira badala ya kutupa vidumu na kusababisha uchafuzi wa mazingira wewe unaweza kuvikusanya na kufanya kazi hii huku mwisho wa siku pesa inaingia mfukoni.
Hivyo ni wakati wako wa kuishughulisha kuliko kukaa bure na kutegemea kusubiri kupata ajira katika ofisi flani ama wizara flani.

download torrent kwanye simu yako.


    


Kama mtakumbuka niliwahi post kuhusu zbigz humu na namna itakavokuwezesha kudownload torent na idm kama ilikupota post hii hapa

download torrent direct bila client (muhimu kwa wanaotumia proxy)

Then e2themiza akaongezea na premium trick

http://www.jamiiforums.com/tech-gadg...0kbps-now.html

Sasa leo nimekuja na zbigz kwa ajili ya simu hii site ipo optimized kwa simu kuweza kudownload torrent file kwa njia kawaida kama opera au ucweb kirahisi

Visit site hii

zbigz.com

Nimetest mwenyewe 100% its work
 
Copyright © 2013 Ujenzi Online
Share on Blogger Template Free Download. Powered byBlogger