
Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayo
Free JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App World
ili kuweza kudownload JF Application for Blackberry na kuinstall kwenye
kifaa chako Blackberry ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii
application huko kwenye Blackberry Store na sio JF kama mlivyozoea
kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia
y
atasaidia kuborasha application hiyo.
Post a Comment