BREAKING NEWS

Category 5

?max-results="+numposts2+"&orderby=published&alt=json-in-script&callback=recentarticles6\"><\/script>");

Category 6

?max-results="+numposts5+"&orderby=published&alt=json-in-script&callback=recentarticles8\"><\/script>");

Category 7

Wednesday, 14 August 2013

Fix audio/video stutter delay in VLC Player



Note: This fixed my problem with VLC player and is not a guaranteed fix for your problems in VLC or in life. If you do something wrong i am not responsible.

Thanks to joejoerowley for his work and his persistance to find a solution to my audio stutter problem in VLC.

Step 1: Open VLC

Open VLC

Step 2: Open VLC Preferences

Click on Settings>Preferences or hit Ctrl-S if you have experience with personal computers.

Step 3: Follow steps to finish

Follow the picture below and try playing the dvd to ensure the process worked.


Thanks for reading.

Thursday, 8 August 2013

Namna ya kuzuiya sehemu ya FACEBOOK CHAT

  Watu Wengi  wana Tatizo la kutopenda kuona Sehemu ya kuchati wakati Yupo mtandaoni(FACEBOOK ONLINE CHAT) . Lakini kuna wengine wanapenda kuona hiyo Sehemu ya kuchati.


Namna ya Kuitoa kwa kutumia BROWSER yako
Kuna ADONS na EXTESION ambazo unatakiwa kuziDISABLE hili ambayo itakufanya usione sehemu ya kuchati  ADONS hisi ni salama na ni buree kabisa
 

Kwa wale ambao wapendi kuona sehemu ya kuchati kuna Hatua chache na raisi za kufuata:
KWA WATUMIAJI WA BROWSER  YA GOOGLE CHROME FUATA HATUA ZIFUATAZO:
 






HATUA .2
 Sasa bonyeza kwenye ADD TO CHROME na yenyewe itajichomeka (WILL AUTOMATICALLY INSTALL) kwenye    BROWSER yako.

 HATUA .3
 Mambo yote safi kabisa na sasa kuwa huru mbali na usumbufu.

KWA WATUMIAJI WA (MOZILLA FIREFOX)



HATUA 1.
Pakuwa (DOWNLOAD) Hapa   Grease Monkey.



HATUA 2.
Sasa Chomeka INSTALL FACEBOOK STEALTH

HATUA 3.
Mambo yote safi furahiya na Ujenzi online Kwa kulike Page yetu Ujenzionline

Friday, 2 August 2013

Meno yakuzwa kutokana na Mkojo

MENO
Wanasayansi wamekuza jino kutoka kwa mkojo wa binadamu
Matokeo haya yaliyochapishwa kwenye jarida la utafiti wa kisayansi la Cell Regeneration, yalionyesha kuwa mkojo unaweza kutumika kuunda celi ambazo zinaweza kutumika kukuza vimelea vinavyofanana kama meno.
Wanasayansi kutoka China waliofanya utafiti huo wanatumai kuwa utafiti huu unaweza kutumika kuwapa watu wasio na meno fursa ya kuwa nayo.
Hata hivyo watafiti wa celi za mwili, wanaonya kuwa utafiti huu unakabiliwa na changamoto nyingi.
Vikundi vya wanasayansi kote duniani wanatafuta mbinu za kukuza meno kwa njia ya mahabara ili kukabiliana na tatizo la wazee kung'oka meno na hata wale wanaong'oka meno kutokana na afya mbaya.
Seli zijulikanazo kama -Stem cells - ambazo wanasayansi wanaweza kutumia kukuza aina yoyote ya seli, hutumika sana katika sekta ya utafiti.
Wanasayansi wa China waliofanya utafiti huo, walitumia mkojo wa binadamu, mwanzoni mwa utafiti wao.
Seli zinatoka mwilini kwa njia ya mkojo , zilikusanywa na kuwekwa kwenye mahabara.Mchanganyiko wa seli hizi na zile zilizokusanywa kutoka kwa panya ambao hutumiwa kwa utafiti, ziliwekwa ndani ya wmili wa Panya.
Baada ya wiki tatu seli hizo zilianza kufanana kama meno zikiwa na sehemu zote za jino. Hata hivyo meno yenyewe hayakuwa magumu kama meno ya kawaida.
Utafiti huu hata hivyo unahitaji kazi ya ziada ili kuzalisha meno halisi.
Profesa Chris Mason, mwansayansi wa seli za mwili, alisema kuwa mkojo wa binadamu sio hatua nzuri ya kuanzia kutengeza meno halisi.
Sio kiungo kizuri kutumia kwa sababu mkojo hauna seli nyingi na kazi ya kugeuza mkojo kuwa seli ni ngumu sana.
Pia alionya kuhusu tisho la maambukizi kutokana na viini vya bakteria vilivyo kwenye mkojo
SOURCE: BBC SWAHILI
 
Copyright © 2013 Ujenzi Online
Share on Blogger Template Free Download. Powered byBlogger