Kwa wale wanaotumia devices za Blackberry iwe simu ya mkononi au Tablet PC, tafadhali tembelea link ifutatayoFree JamiiForums - Download JamiiForums - Free Apps from BlackBerry App Worldili kuweza kudownload JF Application for Blackberry na kuinstall kwenye kifaa chako Blackberry ambacho unakitumia kwa ajili ya kutembelea JF.
Pia msisahau kutoa maoni yenu kuhusiana na hii application huko kwenye Blackberry Store na sio JF kama mlivyozoea kufanya. Hii itasaidia kuweza kupata maoni yanayoeleweka ambayo pia yatasaidia kuborasha application hiyo.
Post a Comment