wengi wetu tumepitia udogoni stage hii ukiambiwa kitu unakataa basi mzazi anakwambia ''ntakupeleka kwa dokta ukachomwe sindano''.


Wanasayansi wa korea wamegundua sindano ambazo zitatumia laser na kusababisha kutopata maumivu ukitibiwa. Sindano hizo zitapitisha dawa kwenye upenyo wa ngozi wa vinyweleo na kusababisha dawa kuingia bila kuumiza tisue za ngozi

Njia hii ni mwendelezo kwan mit walishagundua kua wanaweza kutumia mabomba yenye presure kupitisha dawa bila sindano.

Je tutawatishia nini tena watoto?